Skip to content

Opening book details…

Can I read ANTHROPOLOJIA : MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU MWANADAMU 1 on EtoBox?

ANTHROPOLOJIA : MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU MWANADAMU 1 by Daniel J. Seni (Mwandishi) is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is ANTHROPOLOJIA : MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU MWANADAMU 1 about?

Kitabu hiki ni mfululizo wa mafundisho ya Kikristo yaliyo kwenye “Teolojia Pangilifu” (systematic Theology). Nakala hii inashughulikia anthropolojia. Katika utangulizi huu ningependa kufafanua maana ya anthropolojia ya Kikristo. Kwa ujumla anthropolojia ni utafiti wa kisayansi unaohusika na kutafiti mwanadamu na sifa zake, biolojia ya binadamu, na jamii, ya sasa na ya zamani, pamoja na spishi za wanadamu za zamani. Kwa maneno mengine tunaweza kuita “anthropolojia ya kisayansi” kwa sababu yenyewe inashughulikia masuala ya mwanadamu kwa kutafiti sayansi inasema nini. Hata hivyo, tunapozungumzia “anthropolojia ya Kikristo” tunakuwa na maana zaidi ya hiyo. Katika muktadha wa theolojia ya Kikristo, anthropolojia ya Kikristo ni utafiti wa mwanadamu kama anavyohusiana na Mungu. Inatofautiana na anthropolojia ya kisayansi ambayo hushughulikia sana uchunguzi kwa kulinganisha tabia za binadamu na jamii kwa nyakati na maeneo tofauti. Katika Anthropolojia ya Kikristo tunajadili kwa undani asili ya mwanadamu katika uhusiano wake na Mungu, chanzo cha matatizo ya mwanadamu na kuelekeza suluhisho lake. Tofauti na anthropolojia ya kisayansi, anthropolojia ya Kikristo hupata kiini chake kutoka kwen

Who reads ANTHROPOLOJIA : MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU MWANADAMU 1?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Daniel J. Seni (Mwandishi)
Publisher
Truth Printing Press
Published
2021
Language
SW
ISBN
9789976572698
Category
nonfiction

More by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Browse all works by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Similar books