Skip to content

Opening book details…

Can I read Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) on EtoBox?

Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) by Daniel J. Seni (Mwandishi) is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) about?

Mwandishi wa kitabu hiki ni mbobevu katika masuala ya Teolojia Pangilifu (Systematic Theology) katika nyanja ya wanarefomati (Reformed Traditions). Amefafanua kwa undani zaidi maana ya kanisa na maendeleo yake. Yafuatayo ni maelezo yake mwenyewe: "Ni mfululizo wa masomo katika uwanja wa Teolojia Pangilifu (systematic Theology). Katika kitabu hiki tunashughulikia mafundisho ya Kikristo kuhusu kanisa. Hiki siyo kitabu cha Historia ya Kanisa, bali ni mafundisho kuhusu kanisa, yaani “eklezia.” Katika kitabu hiki nimefanya uchambuzi wa kanisa kwa kuzingatia mtazamo wa kibiblia, kihistoria, na kitamaduni. Hata hivyo, mahitimisho yote yamezingatia mtazamo wa Teolojia Iliyoboreshwa au Refomati (Reformed Theology), kwani ninaamini kwamba ndio mtazamo wa Kibiblia, ingawa ama kwa hakika hauwezi kukosa changamoto. Ikumbukwe kwamba kanisa ni mojawapo ya taasisi ambayo inavutia watu wengi katika dunia hii. Na pengine, mojawapo ya sababu kuu ni kwamba kanisa lilianzishwa na Mungu mwenyewe kwa ajili ya kusudi lake maalumu. Katika muono huo, tunahitaji sasa kujua kanisa ni kitu gani, lilianzia wapi? Liliendeleaje na linaendeleaje? Kipi kinachoonesha kwamba hili ni kanisa? Zipi ni sifa anuwai za kan

Who reads Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria)?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Daniel J. Seni (Mwandishi)
Publisher
Truth Printing Press
Published
2020
Language
SW
ISBN
9789976572605
Category
nonfiction

More by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Browse all works by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Similar books