Skip to content

Opening book details…

Can I read SOTERIOLOJIA: MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU WOKOVU 1 on EtoBox?

SOTERIOLOJIA: MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU WOKOVU 1 by Daniel J. Seni (Mwandishi) is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is SOTERIOLOJIA: MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU WOKOVU 1 about?

Na Mwandishi: Huu ni mfululizo wa masomo katika uwanja wa “Teolojia Pangilifu” (Systematic Theology). Sasa tunashughulikia somo la Soteriolojia, yaani somo linalohusu “wokovu wa mwanadamu.” Siku hizi pengine inaweza kudhaniwa kwamba kila Mkristo anajua maana ya wokovu na upatikanaji wake. Watumishi wengi wasiopenda kujishughulisha huishia kusema “Yesu anaokoa” bila kufafanua maana ya sentensi hii nyepesi na rahisi sana. Ni kweli katika muktadha wa misiolojia tunaweza kutumia sentensi nyepesi kama hizi bila kuzitolea ufafanuzi kwa sababu wale tunaowaambia tunachukulia kwamba hawajui kitu chochote. Siku hizi kuna makanisa yanayojiita, “makanisa ya wokovu” ambayo hudai kuhubiri wokovu wa kweli. Hata hivyo, nimegundua mapungufu mengi katika mafundisho yao kuhusu wokovu kwa kudhania kwamba wokovu ni tukio la sekunde moja. Ama kwa hakika, wokovu ni mchakato; ingawa yawezekana michakato hiyo isipangiliwe vizuri na kuleta maana, lakini bado tunapaswa kujua kwamba wokovu ni mchakato. Mchakato wa kumwokoa mwanadamu unaanzishwa na Mungu mwenyewe na kumaliziwa pia na Mungu mwenyewe. Katika kitabu hiki, kwa namna ya upekee nimejaribu kufafanua kwa undani kuhusu michakato hiyo kwa kuzingatia ufa

Who reads SOTERIOLOJIA: MAFUNDISHO YA KIKRISTO KUHUSU WOKOVU 1?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Daniel J. Seni (Mwandishi)
Publisher
Truth Printing Press
Published
2021
Language
SW
ISBN
9789976572636
Category
nonfiction

More by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Browse all works by Daniel J. Seni (Mwandishi)

Similar books