Opening book details…
Can I read Umaskini Na Utajiri: Katika Mawanda Mapana Ya Kiteolojia on EtoBox?
Umaskini Na Utajiri: Katika Mawanda Mapana Ya Kiteolojia by Daniel J. Seni is a nonfiction available to read on EtoBox.
What is Umaskini Na Utajiri: Katika Mawanda Mapana Ya Kiteolojia about?
Kitabu hiki kwa mara ya kwanza nilikiandika mwaka 2017 katika lugha ya Kiingereza na kilichapiswa katika mtandano wa Amazon Kindle. Pia nakala ngumu yake inapatikana kwa kuagiza kupitia amazon. Kichwa chake kwa Kiingereza kinaitwa, “THE SCHOOL of POVERTY AND RICHES: A New Hope to the Desperate World. Niliamua kukiandika kwa Kiswahili ili kuruhusu watu wengi kusoma na kuelewa vizuri dhana ya Umaskini na Utajiri; tumaini jipya kwa ulimwengu unaopotoka. Utakubaliana nami kwamba katika ulimwengu huu dhana ya maskini na wanyonge imetawala kiasi kwamba kuwa mnyonge au maskini imekuwa kama ni heshima fulani hivi. Vivyo hivyo, watu kuwa matajiri siku hizi wanahofia kwa kuogopa kwamba pengine labda watu wanafikiri nimewapoka mali zao ndiyo maana nimekuwa tajiri. Yawezekana pia ukakubaliana nami kwamba maskini wengi wamekuwa mitaji ya mitume na manabii; kwa maana ya kwamba maskini wengi ndio ambao huenda kuombewa na kuangushwa na mapepo; (eneo hili bado tunatafiti uhusiano kati ya umaskini na kuangushwa na pepo) lakini huo ndio ukweli. Katika kitabu hiki, nimejadili kwa undani masuala ya umasikini na utajiri kwa kuzingatia muktadha wetu, lakini vilevile nimechukua dhana ya kutangulia kuchagu
Who reads Umaskini Na Utajiri: Katika Mawanda Mapana Ya Kiteolojia?
It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.
Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.
- Author
- Daniel J. Seni
- Publisher
- Shekinah Press
- Published
- 2021
- Language
- SW
- Category
- nonfiction
More by Daniel J. Seni
Browse all works by Daniel J. Seni
Similar books
- Mikidadi wa Mafia. Maisha ya Mwanaharakati na Familia Yake Nchini Tanzania — Pat Caplan; mfasiri, Ahmad Kipacha (2014)
- Imân na Uislam — MAWLÂN BIYÂ’ AD-DÎN KHÂLID AL-BAGHDÂDÎ (2016)
- Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu--Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu — Paul C. Jong (2021)
- Harakati ya Kitabaka Katika Afrika — Kwame Nkrumah; M.W.K. Chiume (1974)
- Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) — Daniel J. Seni (Mwandishi) (2020)
- Uandishi Katika Kiswahili — Elizabeth Godwin Mahenge (2014)