Opening book details…
Can I read Mabadiliko Yanayoumiza Ndani Ya Kanisa on EtoBox?
Mabadiliko Yanayoumiza Ndani Ya Kanisa by Daniel J. Seni is a nonfiction available to read on EtoBox.
What is Mabadiliko Yanayoumiza Ndani Ya Kanisa about?
Katika mataifa ya mengine siku hizi huwezi kuwa mchungaji wa kanisa linalojitambua ukiwa huna angalau Elimu ya Sekondari na kumaliza seminari. Katika nchi zingine, uchungaji imeorodheshwa kuwa mojawapo ya kazi zinazotambuliwa ndani ya serikali. Ni mojawapo ya kazi ambayo mtu lazima awe na maarifa ya Mungu na ya kidunia. Kinyume chake, katika mataifa mengine, mtu akiweza kunena kwa lugha tu, anakabidhiwa kundi. Ndiyo! Naamini katika uongozi wa Roho Mtakatifu katika kuongoza kanisa; wenye elimu na wasio na elimu ni sawa tu. Na wakati mwingine wasio na elimu yoyote wanaweza kuongoza kanisa vizuri kuliko wenye elimu. Hata hivyo, itakuwa ni kazi kubwa sana yenye kuchosha, kwa sababu mambo mengi unaweza kuyafanya kama uko gizani. Kwa kuzingatia uhitaji wa elimu ya uongozi ndani ya kanisa; uwe na elimu, ama usiwe na elimu, kitabu hiki kinakufaa kwa sababu nimekiandika katika mazingira ya uzoefu na mazoezi; kitamsaidia kiongozi yeyote ndani ya kanisa kuwa mwajibikaji ikiwa ataamua kukitumia vizuri, na kufuata maelekezo yake. Katika kitabu hiki, nimejaribu kujadili kwa kina mambo muhimu ambayo mtumishi wa Mungu akiyafanya ndani ya kanisa kuna uwezekano mkubwa wa kubadilisha kundi lake. Nime
Who reads Mabadiliko Yanayoumiza Ndani Ya Kanisa?
It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.
Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.
- Author
- Daniel J. Seni
- Publisher
- Truth Printing Press
- Published
- 2020
- Language
- SW
- ISBN
- 9789976572629
- Category
- nonfiction