Opening book details…
Can I read Kiswahili 5. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi on EtoBox?
Kiswahili 5. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel. is a nonfiction available to read on EtoBox.
What is Kiswahili 5. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi about?
Выходные данные неизвестны. Изд.: Tanprints. 2012 — 88 стр. Hiki ni kitabu kipya kilichoandaliwa kwa ajili ya wanafunzi na waalimu wa Kiswahili kidato cha tano katika shule za sekondari.Ni cha kukidhi haja ya muhtasari wa sekondari nchini Rwanda. Hii ina maana kwamba maelezo yote kuhusu somo hili yatakayotolewa humu yatakuwa ni yale yanayolingana na kidato hiki. Kitabu cha mwanafunzi kidato cha tano, kina ndani mwake masomo yanayotarajiwa kufundishwa wanafunzi wa Kiswahili kidato husika, ambayo ni pamoja na: fasihi, tamathali za usemi, matumizi ya lugha ya Kiswahili, mnyambuliko wa vitenzi, uhakiki, ufupisho, hotuba, aina za tungo, kupambanua na kuchambua tungo, na utungaji wa barua mbalimbali . Kitabu hiki kimeandikwa na Bwana Niyirora Emmanuel na Ndayambaje Ladislas, kutoka Chuo Kikuu cha Elimu cha Kigali (KIE). Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kujua lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya kibantu na iliyopiga hatua kimatumizi, kimsamiati, na yenye kutumiwa na jamii mbalimbali barani Afrika na ulimwengu kwa ujumla. Kwa sababu Rwanda imeingia katika Jumuia ya Afrika Mashariki, ni lazima Wanyarwanda wote wawe na ujuzi wa lugha hii muhimu. Katika kitabu hiki mwanafunzi anapatiwa
Who reads Kiswahili 5. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi?
It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.
Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.
- Author
- Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Language
- SW
- Category
- nonfiction
- Subjects
- Language Learning, Language
More by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
Browse all works by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
Similar books
- Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi — Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Kiswahili 6. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi — Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Mwongozo wa Mwalimu — Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya — Inyani K Simala; Leonard Chacha; Miriam Osore; Ayub Mukhwana; Brenda Midika; Clara Momanyi; Grace Wanja; Henry Indindi; Jacktone O Onyango; Joseph Nyehita Maitaria (2014)
- Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) — Daniel J. Seni (Mwandishi) (2020)
- NJONI TUABUDU: TARATIBU ZA IBADA (KWA MAKANISA YA KIPRESITERI) 1 — Daniel J. Seni (2020)