Skip to content

Opening book details…

Can I read Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Mwongozo wa Mwalimu on EtoBox?

Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Mwongozo wa Mwalimu by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel. is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Mwongozo wa Mwalimu about?

Выходные данные неизвестны. Изд.: Tanprints. 50 стр. Mwongozo wa mwalimu kidato cha nne ni kitabu cha kumsaidia mwalimu kufundishia kitabu cha mwanafunzi cha kidato cha nne. Mwalimu ana hiari kufuata na kukubali mpango uliopangwa na waanndishi au kubadilisha sehemu nyingine kwa kufuatana na ujuzi wa lugha hii, yaani Kiswahili. Mwalimu anashauriwa ajaribu awezavyo kusoma sehemu ya matayarisho kabla ya kufunza somo lolote. Kutofanya hivyo kutamfanya mwalimu kushindwa kulisomesha somo lake kwa namna na hali ipasayo. Katayarisho hayawezi kabisa kufanywa siku hiyo wala si rahisi kwa vifaa vyote kupatikana siku hiyo hiyo. Kutokana na hayo yote wanafunzi wataweza kusikiliza, kutamka, kuona, kutenda, kusoma na kuandika Kiswahili vizuri zaidi na kwa urahisi kwa sababu mwalimu amejitayarisha vyema. Kitabu hiki kinapangwa katika mihula mitatu (3) ambapo kila mhula huwa na majuma kumi na mawili (12). Katika taratibu ya kila funzo kuna vichwa vya maneno vifuatavyo: funzo, shabaha, vifaa na taratibu. Haya yote ni kutaka kumrahisishia mwalimu kazi yake. Ni muhimu kuielewa shabaha ya kila somo kwani shabaha ndiyo uti wa mgongo wa somo lolote. Kitabu hiki pia, kimetayarishwa kwa ajili ya kurahisish

Who reads Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Mwongozo wa Mwalimu?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
Language
SW
Category
nonfiction
Subjects
Language Learning, Language

More by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.

Browse all works by Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.

Similar books