Opening book details…
Can I read Huduma Za Afya Na Utunzaji Wa Watoto on EtoBox?
Huduma Za Afya Na Utunzaji Wa Watoto by V. P. Kimati is a nonfiction available to read on EtoBox.
What is Huduma Za Afya Na Utunzaji Wa Watoto about?
Huduma za Afya na Utunzaji wa Watoto ni kitabu kinachotoa maelezo muhimu juu ya ulinzi wa afya za watoto na akina mama. Kitabu hiki kimetungwa kwa madhumuni ya kuwasaidia wazazi ili wajisaidie wenyewe na wawasaidie watoto wao katika mambo yahusuyo magonjwa ya watoto wadogo. Matatizo mengi ya kiafya na magonjwa ya watoto wadogo yanaweza kutatuliwa mapema na vizuri zaidi nyumbani. Ili watoto wadogo wapate afya njema na hivyo kupunguza vifo vitokanavyo na maradhi, inabidi wazazi waelimishwe katika utunzaji wa afya za watoto wao. Inatumainiwa kuwa baada ya kusoma kitabu hiki, wazazi wataweza kutoa huduma za kwanza kwa watoto wao kabla ya kuwapeleka kwa waganga. Vilevile, inatarajiwa kuwa baada ya kusoma kitabu hiki vijana wote wataweza kusaidia sana wazazi wao katika kutoa huduma za kwanza za dharura kwa wadogo zao wanapougua ghafla huko majumbani. Aidha kitabu hiki kitawasaidia sana wafanyakazi wa tiba hasa wakunga, wauguzi wasaidizi, wauguzi wa vijijini n.k. katika kutoa huduma bora zaidi.
Who reads Huduma Za Afya Na Utunzaji Wa Watoto?
It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.
Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.
- Author
- V. P. Kimati
- Publisher
- Tanzania Publishing House
- Published
- 1982
- Language
- SW
- ISBN
- 9789976100167
- Category
- nonfiction
- Subjects
- Music, Medical, Arts
More by V. P. Kimati
Browse all works by V. P. Kimati
Similar books
- Diwani ya Hadithi za Watoto - Juzuu ya Kwanza — Elimu Yetu (2021)
- Mikidadi wa Mafia. Maisha ya Mwanaharakati na Familia Yake Nchini Tanzania — Pat Caplan; mfasiri, Ahmad Kipacha (2014)
- Kiswahili 4. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi — Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Tishio la ukombozi : ubeberu na mapinduzi Zanzibar — Amrit Wilson; tafsiri ya Kiswahili: Ahmada Shafi Adam (2016)
- Kiswahili 6. Sanifu kwa Shule za Sekondari. Kitabu cha Mwanafunzi — Ndayambaje Ladislas, Niyirora Emmanuel.
- Ekklesiolojia: Mafundisho Ya Kikristo Kuhusu Kanisa (mtazamo Wa Kihistoria) — Daniel J. Seni (Mwandishi) (2020)