Skip to content

Opening book details…

Can I read Mungu Hakopeshwi on EtoBox?

Mungu Hakopeshwi by Zainab Balwi Baharoon is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is Mungu Hakopeshwi about?

Riwaya ya Mungu Hakopeshwi ni riwaya iliyoshinda na kupewa tuzo ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika kwa mwaka 2018. Riwaya hii inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii imeandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa ujumla. In Mungu Hakopeshwi, Zainab Alwi Baharoon, has used the standard unguja Swahili masterfully. The language used flows so effortlessly that the reader can also have fun while reading. The overriding issue handled in this work is womens struggles against the backdrop of male chauvinism and domination where the women find themselves at the

Who reads Mungu Hakopeshwi?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Zainab Balwi Baharoon
Publisher
Mkuki na Nyota Publishers
Published
2017
Language
SW
ISBN
9789987753932
Category
nonfiction
Subjects
Literary Fiction, Fiction, Humanities

Other editions & translations

More by Zainab Balwi Baharoon

Browse all works by Zainab Balwi Baharoon

Similar books