Skip to content

Opening book details…

Can I read Penzi la Damu on EtoBox?

Penzi la Damu by Anna Samwel Manyanza is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is Penzi la Damu about?

"Mstahamilivu hula mbivu, mtaka cha uvunguni sharti ainame, na mchumia juani hulia kivulini. Ni machache ya maadili yamuongozayo binti Malaika katika safari yake ya kutimiza ndoto zake. Kujiendeleza kielimu ndiyo ndoto yake kuu. Kwa vile Mungu hamtupi mja wake, anabahatika kwenda ughaibuni kitaaluma. Ni safari inayomtenganisha na mpenzi wake, Ben. Lakini Ben anaahidi kumsubiri hadi afuzu masomo yake. Katika kipindi hiki cha utengano, dunia inawapangia mambo mengine kabisa, ni utengano unaotishia kulisumu penzi lao. Majaribu hayeshi, vishawishi ni vingi. Penzi lao linayumba, linatishia kudumbukia kwenye dimbwi la damu. Lakini Malaika haliachii penzi lake kwa Ben, analipigania kishujaa. Ben pia anaingia vitani kulipigania penzi la Malaika. Je, watashinda vita hivi vya kimapenzi?"--Provided by publisher

Who reads Penzi la Damu?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Anna Samwel Manyanza
Publisher
Mkuki na Nyota Publishers
Published
2022
Language
SW
ISBN
9789987753680
Category
nonfiction

More by Anna Samwel Manyanza

Browse all works by Anna Samwel Manyanza

Similar books