Can I read Riwaya Za Kimajaribio Burudani Au Kikwazo Kwa Msomaji? Mfano Wa Riwaya Teule Za K.W. Wamitila on EtoBox?
Riwaya Za Kimajaribio Burudani Au Kikwazo Kwa Msomaji? Mfano Wa Riwaya Teule Za K.W. Wamitila by IJAR JOURNAL is a document available to read on EtoBox.
What is Riwaya Za Kimajaribio Burudani Au Kikwazo Kwa Msomaji? Mfano Wa Riwaya Teule Za K.W. Wamitila about?
Makala hii imefafanua sababu za uchangamano wa muundo na mtindo wa riwaya za kisasa uliosababishwa na matumizi mapana ya mbinu za kimajaribio. Lengo mahususi lilikuwa kufafanua kuwepo kwa uandishi wa kimajaribio wenye kukanganya na athari zake kwa usomaji wa riwaya za kisasa. Japo kuna mitindo tofauti ya uandishi iliyozoeleka, mwandishi wa riwaya za kisasa hujikita katika ubunifu usiofuata mtindo mmoja maalum unaozifanya riwaya husika kuwa za kipekee. Makala hii imejibana katika ufafanuzi wa sab
- Author
- IJAR JOURNAL
- Language
- OTHER