Skip to content

Opening book details…

Can I read Mkakati Wa Taifa Wa Usimamizi Wa Mazao Baada Ya Mavuno on EtoBox?

Mkakati Wa Taifa Wa Usimamizi Wa Mazao Baada Ya Mavuno by Hussein M. Bashe is a document available to read on EtoBox.

What is Mkakati Wa Taifa Wa Usimamizi Wa Mazao Baada Ya Mavuno about?

Maandalizi ya Mkakati huu yameshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wataalam wa serikali,wahadhiri kutoka vyuo vikuu, jukwaa la wadau wa usimamizi wa mazao baada ya mavuno, asasi zisizokuwa za kiserikali na mashirika ya kimataifa yanayojishughulisha na kilimo. Matumaini yangu ni kuwa, utekelezaji wa mkakati huu utapunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na kuchangia ipasavyo uhakika wa usalama wa chakula na lishe na kuongezeka kwa kipato cha mkulima na pato la taifa kwa ujumla.

Author
Hussein M. Bashe
Language
OTHER