Skip to content

Opening book details…

Can I read Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; III on EtoBox?

Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; III by Hrbek, Ivan; International Scientific Committee for the Drafting of a General History of Africa is a nonfiction available to read on EtoBox.

What is Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; III about?

Kipindi kinachojadiliwa katika Juzuu la III kimezingatia uhamiaji wa aina mbili ambao ulikuwa na umuhimu mkubwa na wa kudumu kwenye historia ya Afrika. Athari ya Uislamu ilikuwa inaongezeka upande wa kaskazini na magharibi; ilikuwa ikiingiliana na utamaduni asilia wa Kiafrika. Upande wa kusini kulikuwa na upanukaji wa WaBantu. Kitabu hiki kwanza kinaweka Afrika katika muktadha wa historia ya dunia mwanzoni mwa karne ya saba, kabla ya kuchambua athari za upenyaji wa Kiislamu, kuendelea kwa upanukaji wa watu wanaozungumza Kibantu, na ukuaji wa ustaarabu kwenye kanda za Kisudani za Afrika Magharibi. Sura zinazojadili kwa undani zinafuata zikizungumzia nasaba mfululizo za Kiislamu za Afrika Magharibi na mawasiliano mapana ya nasaba hizo na sehemu zingine, Unubi ya Wakristo, staarabu za savana, maeneo ya misitu na Pwani ya Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika, Pwani ya Afrika Mashariki na bara, Afrika ya Kati, Kusini mwa Afrika, na maendeleo ya ndani ya Madagaska pamoja na mawasilino ya Kimataifa. Sura tatu za hitimisho zinafuatilia utawanyikaji wa Waafrika huko Asia, zinachunguza uhusiano wa kimataifa na usambaaji wa teknolojia na mawazo ndani ya Afrika, na kupima athari ya jumla ya kipin

Who reads Historia kuu ya Afrika, juzuu lililofupishwa, v. III: Afrika kuanzia karne ya saba hadi ya kumi na moja; III?

It is typically read by self-directed learners exploring a subject in depth.

Common subject areas: history, science, philosophy, social sciences.

Author
Hrbek, Ivan; International Scientific Committee for the Drafting of a General History of Africa
Publisher
TUKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam / UNESCO
Published
1999
Language
SW
ISBN
9789976911275
Category
nonfiction
Subjects
History, Humanities

More by Hrbek, Ivan; International Scientific Committee for the Drafting of a General History of Africa

Browse all works by Hrbek, Ivan; International Scientific Committee for the Drafting of a General History of Africa

Similar books