Can I read Kuwa Tofauti Si Ujinga Wala Si Ubaya: Kisa kutoka Afrika ya Kusini on EtoBox?
Kuwa Tofauti Si Ujinga Wala Si Ubaya: Kisa kutoka Afrika ya Kusini by Grace Zuzo is a work of fiction available to read on EtoBox.
What is Kuwa Tofauti Si Ujinga Wala Si Ubaya: Kisa kutoka Afrika ya Kusini about?
Maelezo ya Kitabu Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.
Who reads Kuwa Tofauti Si Ujinga Wala Si Ubaya: Kisa kutoka Afrika ya Kusini?
It is typically read by readers looking for immersive, entertainment-first reading.
Common subject areas: fiction, literature, genre fiction.
- Author
- Grace Zuzo
- Publisher
- Grace Zuzo's books
- Published
- 2022
- Language
- SW
- ISBN
- 9781088080887
- Category
- work of fiction